Karibu Upakuwe Traffic modes za mabasi ya Tanzania Kwa BUSSID Game android (simu)

 > Karibu sana kwenye blogu ya Mavambo BUSSID Modes!

Hapa utapata modes za mabasi ya Tanzania ya android (simu)

kwa ajili ya mchezo maarufu wa Bus Simulator Indonesia (BUSSID). na Euro Track simulatory ya  android(simu).

Tunatoa modes za mabasi ya kampuni kama:

  • Abood
  • Tawakal Express
  • BM Coach
  • ABC Classic
  • Tashriff lucture coch
  • New force
  • Happy nation
  • Shabby lucture coach
  • Baraka
  • Mining Nice
  • Simba Mtoto
  • Tahmeed

Na nyingine nyingi!


Kila mode inakuja na:

Muonekano halisi wa basi (realistic skins)

Milio halisi ya mabasi ya Tanzania

Ramani (maps) za safari za Tanzania (zinapopatikana)


Jinsi ya Kupakua Mode android:

1. Bofya link ya mode iliyo hapa chini

2. Pakua na ifungue kwenye folda ya BUSSID/Mods

3. Furahia safari ya Tanzania ndani ya game!


Link za Modes:

[Pakua Traffic Mode Tanzania (mediafire link)]

[Pakua bus modes BUSSID (google drive link)]

[Pakuwa map modes Tanzania (mediafire link]


Wasiliana Nami kupata link Modes Maalum au

Kupata game bus( android) iliyokua namazingira ya Tanzania:


Tazama Picha za Modes za Mabasi

 

Tazama Video ya Mabasi

Endelea kutembelea blogu hii kwa updates mpya kila wiki!

Asante kwa kutembelea blogu ya Mavambo!
Tunakuletea ladha halisi ya mabasi ya Tanzania ndani ya Bus Simulator Indonesia.
Endelea kutuunga mkono kwa kushiriki blogu hii kwa marafiki zako!


Hadhaa min fadhli Rabbi — Hili ni kwa fadhila za Mola wangu.

© 2025 Mavambo MODES. All rights reserved.

Wasiliana nasi: mavambomodes@gmail.com

Comments

  1. Replies
    1. gusa READ MORE upande wa kulia kwenye page ya kwanza baada ya kuingia kwenye website then tuma ujumbe whatssap kupata Code au link
      ya modes file husika

      Delete
    2. gusa READ MORE upande wa kulia kwenye page ya kwanza baada ya kuingia kwenye website then tuma ujumbe whatssap kupata Code au link
      ya modes file husika

      Delete
    3. gusa READ MORE upande wa kulia kwenye page ya kwanza baada ya kuingia kwenye website then tuma ujumbe whatssap kupata Code au link
      ya modes file husika

      Delete

Post a Comment

Popular posts from this blog

DOWNLOAD