Karibu Upakuwe Traffic modes za mabasi ya Tanzania Kwa BUSSID Game android (simu)
> Karibu sana kwenye blogu ya Mavambo BUSSID Modes!
Hapa utapata modes za mabasi ya Tanzania ya android (simu)
- Abood
- Tawakal Express
- BM Coach
- ABC Classic
- Tashriff lucture coch
- New force
- Happy nation
- Shabby lucture coach
- Baraka
- Mining Nice
- Simba Mtoto
- Tahmeed
Na nyingine nyingi!
Kila mode inakuja na:
Muonekano halisi wa basi (realistic skins)
Milio halisi ya mabasi ya Tanzania
Ramani (maps) za safari za Tanzania (zinapopatikana)
Jinsi ya Kupakua Mode android:
1. Bofya link ya mode iliyo hapa chini
2. Pakua na ifungue kwenye folda ya BUSSID/Mods
3. Furahia safari ya Tanzania ndani ya game!
Link za Modes:
[Pakua Traffic Mode Tanzania (mediafire link)]
[Pakua bus modes BUSSID (google drive link)]
[Pakuwa map modes Tanzania (mediafire link]
Wasiliana Nami kupata link Modes Maalum au
Kupata game bus( android) iliyokua namazingira ya Tanzania:
Tazama Picha za Modes za Mabasi
Tazama Video ya Mabasi
Endelea kutembelea blogu hii kwa updates mpya kila wiki!
Asante kwa kutembelea blogu ya Mavambo!
Tunakuletea ladha halisi ya mabasi ya Tanzania ndani ya Bus Simulator Indonesia.
Endelea kutuunga mkono kwa kushiriki blogu hii kwa marafiki zako!
Hadhaa min fadhli Rabbi — Hili ni kwa fadhila za Mola wangu.
© 2025 Mavambo MODES. All rights reserved.
Wasiliana nasi: mavambomodes@gmail.com
Nahitaji mod ya abood
ReplyDeletegusa READ MORE upande wa kulia kwenye page ya kwanza baada ya kuingia kwenye website then tuma ujumbe whatssap kupata Code au link
Deleteya modes file husika
gusa READ MORE upande wa kulia kwenye page ya kwanza baada ya kuingia kwenye website then tuma ujumbe whatssap kupata Code au link
Deleteya modes file husika
gusa READ MORE upande wa kulia kwenye page ya kwanza baada ya kuingia kwenye website then tuma ujumbe whatssap kupata Code au link
Deleteya modes file husika
Malipo Au?
ReplyDeleteYah
Delete